| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha mbalala kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi Machi 22, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Abdallah, Naibu Waziri wa kilimo, Omari Mgumba, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Lindi na Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, Mwenyekiti wa CSTC, Gerald Billet, Balozi wa ufaransa nchini, Frederick Clavier, Mkurugenzi Mtendaji wa CSTC, Christophe Gallean na kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
No comments:
Post a Comment