| Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa Finland nchini, Pekka Hukka ofisini kwake Jijini Dodoma leo ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili kwa kuendeleza miradi iliyodhaminiwa na Serikali ya Finland hususani ya misitu ambapo Balozi huyo amemuelza Waziri Kigwangalla kuwa msingi mkubwa wa maendeleo ya Finland ni uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye misitu. (Picha na Wizara ya Maliasili na Utalii) . |
No comments:
Post a Comment