Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson na Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya
Kijeshi cha Monduli Brigedia Jenerali Steven Mnkande wakiwa katika picha ya
kumbukumbu na Maafisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya
kutunukiwa Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
|
No comments:
Post a Comment