| Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi (kushoto), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom, Rosalynn Mworia akizungumza juu ya utendaji kazi wa kidijitali wa kampuni hiyo mapema leo kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, Mhandisi Peter Ulanga. |
No comments:
Post a Comment