Mwenyekiti wa Chama
cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji African Media Group (AMG)
Jaffari Haniu akisoma habari, alipotembelea kuangalia utendaji kazi wa Vituo
vya Televisheni na Radio vya African Media Group vinavyomilikiwa na Chama cha
Mapinduzi CCM. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini
Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
|
No comments:
Post a Comment