Monday, 11 February 2019

MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA KIMATAIFA WA AU ADDIS ABABA, ETHIOPIA- FEB 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia picha za Viongozi Waasisi wa Ukombozi wa Afrika, ndani ya ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue nje ya ukumbi wa Nelson Mandela,kwenye mkutano wa Viongozi Wakuu wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 12, 2019, (katikati) kushoto ni Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, (katikati) kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Naimi Aziz. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment