RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 6 WA MAHAKAMA YA RUFANI NA MAJAJI 15 WA MAHAKAMA KUU TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Winnie Korosso Kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sahel Barke Kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Lugano Samson Mwandambo Kuwa
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Mary Levira Kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Ignus Paul Kitusi Kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema Kerefu Sameji Kuwa Jaji
wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Mustapha Kambona Ismail Kuwa Jaji wa
Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Athumani Matuma Kirati Kuwa Jaji wa
Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
No comments:
Post a Comment