| Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi (kulia) akiwapongeza baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika mara baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta zilizotolewa na Benki ya NMB. |
| Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (wa pili kulia) akizungumza kabla ya kukabidhi misaada hiyo. |
| Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi (kulia) akitoa shukrani kwa Benki ya NMB kwenye hafla hiyo. |
| Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mabatini, Bi. Victoria Joseph (kulia) akitoa shukrani kwenye hafla hiyo. |
| Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabatini wakiwa katika hafla hiyo ya kupokea msaada. |
No comments:
Post a Comment